Vitanda vya Mninga vya ubora wa juu, vinavyotengenezwa kwa ustadi na finishing ya kiwango cha kimataifa. Bila gharama kubwa, bila wasiwasi, na kwa uhakika wa kuishi kwa miaka mingi.
Tunafikisha mpaka kwako
Deposit 65% tu kuanza
Mninga halisi + finishing
Oda 20 kwa wiki
Ubora uliohakikishiwa • Finishing premium • Miaka mingi ya matumizi
Angalia DesignOFa maalum
Usikose nafasi hii ya akiba kubwa
Workshop: Arusha Sakina, Darajani
Simu/WhatsApp: +255 712 091 457
Tafuta RamaniChagua design unayopenda, angalia picha, bei, kisha weka oda. Kila design ina upekee wake na inafanywa kwa ustadi.
Kitanda kilicho na mwonekano wa njiti lakini ni imara sana size ya 5*6 ndo kinapendeza
Kinafaa sana kwa wanandoa chumbani, lazima kujiachia (size 6*6)
Hii design inafaa sana kwa waigizaji, mwonekano wa kitanda hiki unavutia, hakina bedisides (size 5*6 au 6*6)
Kitanda chenye mwonekano wa kifalme, kinafaa sana kwa wanandoa, kama umeoa na mnapendana hiki kitanda usikiache
Nikitanda ambacho kimetengenezwa kwa pingili ambazo siyo nene sana, size ya 5*6 au 6*6 na bedsides
Hiki nikitanda cha mshumui sababu kina miguu ya duara, lakini pia kimebebwa na muonekano wa pingili. size ya 5*6 au 6*6 kikiwa ba bedsides
Kitanda chenye design na mwonekano wa draft kubwa za kupachika, unakipata na bedsides zake
Kitanda kisichokuwa na uvugu, chaga zake ziko chini sana, hiki kitanda kinamfaa yule aliye na godoro kuanzia 12' na kuendelea ukiweka chaga kuwa juu unaharibu design ya kitanda hiki.
Nikitanda cha chini, kama kinavyoonekana Ni kizuri sana kwa kama unapenda design za upole
Zaidi ya designs 20 tayari, na kila mwezi tunazidi kuongeza
Angalia picha za vitanda vya Mninga tulivyovitengeneza kwa wateja wetu. Ubora unaonekana.
Wateja waliopata kitanda cha Mninga kutoka kwetu na wamekubali kushare uzoefu wao.
Piga simu au WhatsApp sasa, tukupe design, ofa ya leo, na ratiba ya utengenezaji. Kazi inaanza baada ya deposit ya 65% tu.
Workshop: Arusha Sakina, Darajani • Mikoa Tunayohudumia: Arusha, Kilimanjaro, Manyara • Simu: +255 712 091 457