Mteja analipia 65% ya thamani ya oda kuanza kazi. Baada ya kitanda kukamilika, mteja anamalizia baki.
WoodSo tunatengeneza kwa design zetu. Usilete design yako. Ukihitaji design yako, utalazimika kukubali bei tutakayokwambia kabla ya kazi kuanza.
Uwezo wetu ni hadi oda 20 ndani ya wiki 1 kulingana na ratiba ya uzalishaji.