Chagua design ya kitanda cha Mninga unachopenda. Kila design ina upekee wake, ubora wa juu, na inafanywa kwa ustadi katika workshop yetu Arusha Sakina. Panga na tukufikishe.
Kitanda kilicho na mwonekano wa njiti lakini ni imara sana size ya 5*6 ndo kinapendeza
Kinafaa sana kwa wanandoa chumbani, lazima kujiachia (size 6*6)
Hii design inafaa sana kwa waigizaji, mwonekano wa kitanda hiki unavutia, hakina bedisides (size 5*6 au 6*6)
Kitanda chenye mwonekano wa kifalme, kinafaa sana kwa wanandoa, kama umeoa na mnapendana hiki kitanda usikiache
Nikitanda ambacho kimetengenezwa kwa pingili ambazo siyo nene sana, size ya 5*6 au 6*6 na bedsides
Hiki nikitanda cha mshumui sababu kina miguu ya duara, lakini pia kimebebwa na muonekano wa pingili. size ya 5*6 au 6*6 kikiwa ba bedsides
Kitanda chenye design na mwonekano wa draft kubwa za kupachika, unakipata na bedsides zake
Kitanda kisichokuwa na uvugu, chaga zake ziko chini sana, hiki kitanda kinamfaa yule aliye na godoro kuanzia 12' na kuendelea ukiweka chaga kuwa juu unaharibu design ya kitanda hiki.
Nikitanda cha chini, kama kinavyoonekana Ni kizuri sana kwa kama unapenda design za upole
Kitanda cha Mninga chenye muundo wa kisasa, mistari laini na finishing ya kiwango cha juu—kimeundwa kwa heshima ya chumba na usingizi tulivu.
Kitanda cha Mninga chenye muundo wa kifahari, finishing laini na uimara wa miaka mingi — chaguo la heshima kwa chumba cha kisasa.
Design simple, imara, finishing ya kuvutia.